|
wanafunzi wa chuo kikuu mkwawa wakicheza mchezo unaojulikana kama game of the world unaofanana na mchezo wa kalata unaozungumzia elimu ya kujikinga na maambukizi ya vvu siku ya huduma mukoba zilizotolewa na kituo cha vijana umati ndani ya chuo (outreach services) |
HAPA NI NDANI YA EBONY FM 87.8 IRINGA
|
Useli kisese (clinic In charge )akiwa na Mratibu mradi wa TUITETEE!!! Martha Kisweka kituo cha vijana UMATI Iringa wakisikiliza mswali ya vijana wakati wa live talks ndani ya kipindi cha vijana tuzungumze ndani EbonyFM radio |
Hapa wawezeshaji wakisikiliza kwa makini maswali kutoka kwa wasikilizaji
No comments:
Post a Comment