Mratibu wa pamoja tuwalee UMATI Jemida Kulanga Akiwa na waelimisha rika katika meza ya elimu ,habari, taarifa sahihi, na ushauri kuhusu afya ya uzazi kata ya kihesa hivi karibuni. |
BI;Mary Biseko Mratibu kituo cha vijana UMATI Mtwivila akiwafafanulia vijana umuhimu wa afya ya uzazi |
Mtoa huduma wa afya akiendelea kuwahudumia vwateja waliohudhuria katika tamasha la huduma mkoba |
Umati wa watu waliofurika kupata elimu burudani za afya ya uzazi katika kata ya kihesa |
Sio vijana tu waliweza kushiriki hata babu huyu ambaye jina lake halikujulikana alikuwepo kushuhudia elimu na burudani siku hiyo |
Hili ni eneo la ofisi ya kata ya Kihesa tukio lilipofanyikia |
HAPA WAKIWA NDANI YA STUDIO YA OVERCOMERS RADIO 98.6 IRINGA
Bi; Sezaria Mratibu wa afya ya uzazi manispaa ya Iringa wa pili ni Proaches Innocent Afisa Mradi AMREF Wakiendelea kuzungumzia umuhimu wa huduma rafiki kwa vijana
No comments:
Post a Comment