Wednesday, July 17, 2013

MWONEKANO WA JENGO LA VIJANA UMATI IRINGA

Vijana wakiwa nje ya kituo cha vijana UMATI Iringa kilichopo Mtwivila

wanafunzi wa chuo kikuu mkwawa wakicheza mchezo unaojulikana kama game of the world unaofanana na mchezo wa kalata unaozungumzia elimu ya kujikinga na maambukizi ya vvu siku ya huduma mukoba zilizotolewa na kituo cha vijana umati ndani ya chuo (outreach services)

HAPA NI NDANI YA EBONY FM 87.8 IRINGA

Useli kisese (clinic In charge )akiwa na Mratibu mradi wa TUITETEE!!! Martha Kisweka kituo cha vijana UMATI Iringa wakisikiliza mswali ya vijana wakati wa live talks  ndani ya kipindi cha vijana tuzungumze ndani EbonyFM radio


 Hapa wawezeshaji wakisikiliza kwa makini maswali kutoka kwa wasikilizaji

Friday, July 12, 2013

MAELEZO JUU YA MATUMIZI SAHIHI YA CONDOM

 Fatuma mhanga mwelimisha rika akitoa maelezo juu ya matumizi sahihi ya condom


Bwana mdogo akisakata taarabu kwa stail ya kiduku kwa upande wa burudani

Binti ambaye jina lake hakupatikana auzalendo ulimshinda akaamua kuungana na bwana mdogo

CDTI NASI HATUPO NYUMA BANA KWA KUCHAMA


Kijana Crief kutoka chuo CHA CDTI akiwapagawisha wanafunzi wenziie




umati wa watu wakiendelea kupata burudani


mambo ndo hayoooo banaaaaaaaaaa!!!


Dada Faith akiwa na mtoto pamja na bango kama linavyoonekana

mc leah akitimiza wajibu wake jukwaani



               Mc Ridhiwani  wa ukweli wa umati mtoto  wa iringa town 


                             faith wa chuo kikuu cha tumain pichani


           dada faith kutoka chuo kikuu cha tumaini akiwa na watoto wa cdti
Baadhi ya wanafunzi wa CDTI wakiendelea kupata burudani kutoka kwa vikundi mbalimbali kutoka UMATI


SMAT BOYS WAKIWAPAGAWISHA WADAU


TAMASHA LA BURUDANI HABARI NA ELIMU KUENDELEA LEO NDANI YA CDTI ENDELEA KUFUATILIA MATUKIO YA PICHA NA HABARI

Tuesday, July 9, 2013

HABARI PICHA ZA TAMASHA LA HUDUMA MKOBA OUTREACH SERVICES LINALOENDELEA MANISPAA YA IRINGA KATA YA KIHESA NA MTWIVILA CHINI YA KITUO CHA VIJANA UMATI KWA KUSHIRIKIANA NA AMREF

Mratibu wa pamoja tuwalee UMATI Jemida Kulanga Akiwa na waelimisha rika katika meza ya elimu ,habari,  taarifa sahihi, na  ushauri kuhusu afya ya uzazi kata ya kihesa hivi karibuni. 

BI;Mary Biseko Mratibu kituo cha vijana UMATI Mtwivila  akiwafafanulia vijana  umuhimu wa afya ya uzazi



Mtoa huduma wa afya akiendelea kuwahudumia vwateja waliohudhuria katika tamasha la huduma mkoba



Umati wa watu waliofurika kupata elimu burudani za afya ya uzazi katika kata ya kihesa



Sio vijana tu waliweza kushiriki hata babu huyu ambaye jina lake halikujulikana alikuwepo kushuhudia elimu na burudani siku hiyo

Hili ni eneo la ofisi ya kata ya Kihesa tukio lilipofanyikia


HAPA WAKIWA NDANI YA STUDIO YA OVERCOMERS RADIO 98.6 IRINGA
Afisa vijana Manispaa yaIringa bw. HAruna Yassini akiwa na Mratibuwa  Mradi afya ya uzazi ni haki ya kijana Tuitetee BI.Matha Kisweka katika studio tayari kwa kuzungumzia umuhimu wa huduma rafiki kwa kijana

 Bi; Sezaria Mratibu wa afya ya uzazi manispaa ya Iringa wa pili ni Proaches Innocent Afisa Mradi AMREF Wakiendelea kuzungumzia umuhimu wa huduma rafiki kwa vijana


TAMASHA LA VIJANA KUHUSU ELIMU HABARI NA USAHAURI WA AFYA YA UZAZI NA UJINSIA BADO LINAENDELEA KATIKA KITUO CHA UMATI MTWIVILA MANISPAA YA IRINGA

Vijana kutoka chuo kikuu mkwawa wakipata elimu habari na ushauri na taarifa sahihi kuhusu afya ya uzazi

vijana waikfurahia baada ya kupata majalida yenye jumbe mbalimbali kutuka kituo cha vijana umati
 
Vijana wakiendelea kusoma majalida pamoja na  kupata elimu kutoka kwa wahudumu wa umati vijana